Ukanda wa Pwani na ukame uliokithiri, TMA ukame huu unasababishwa na nini?

Ukanda wa Pwani na ukame uliokithiri, TMA ukame huu unasababishwa na nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mfano Tanga hapakuwa na mvua kabisa. Hapakuwa na masika. Jua ni kali sana, Tatizo linasababishwa na nini? TMA tunaomba maelezo ya kitaalamu
 
Kwani we jibu hulijui? Hiyo ndo ukisikia Mabadiliko ya hali ya hewa na hiyo ni trela movie yenyewe bado.Sababu ni kukata miti ovyo na uchafuzi wa hali ya hewa inayopelekea ongezeko la joto duniani.
 
TMA wao hutabiri mvua pindi zinapoanza kunyesha, siyo masuala ya ukame.
Vinginevyo ni vipindi vya jua na ngurumo

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom