R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 May 12, 2021 #1 Mfano Tanga hapakuwa na mvua kabisa. Hapakuwa na masika. Jua ni kali sana, Tatizo linasababishwa na nini? TMA tunaomba maelezo ya kitaalamu
Mfano Tanga hapakuwa na mvua kabisa. Hapakuwa na masika. Jua ni kali sana, Tatizo linasababishwa na nini? TMA tunaomba maelezo ya kitaalamu
Abby Newton JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,252 Reaction score 2,253 May 12, 2021 #2 Kwani we jibu hulijui? Hiyo ndo ukisikia Mabadiliko ya hali ya hewa na hiyo ni trela movie yenyewe bado.Sababu ni kukata miti ovyo na uchafuzi wa hali ya hewa inayopelekea ongezeko la joto duniani.
Kwani we jibu hulijui? Hiyo ndo ukisikia Mabadiliko ya hali ya hewa na hiyo ni trela movie yenyewe bado.Sababu ni kukata miti ovyo na uchafuzi wa hali ya hewa inayopelekea ongezeko la joto duniani.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 May 12, 2021 #3 Mvua za masika zimekuwa chache mwaka huu, hata Dsm jua ni kali balaa.
Bambushka JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 3,952 Reaction score 7,218 May 12, 2021 #4 TMA wao hutabiri mvua pindi zinapoanza kunyesha, siyo masuala ya ukame. Vinginevyo ni vipindi vya jua na ngurumo Everyday is Saturday............................... 😎
TMA wao hutabiri mvua pindi zinapoanza kunyesha, siyo masuala ya ukame. Vinginevyo ni vipindi vya jua na ngurumo Everyday is Saturday............................... 😎