Ukandamizaji wa haki ya taaluma na ngawanyo wa kazi

Ukandamizaji wa haki ya taaluma na ngawanyo wa kazi

njoka

Member
Joined
Jun 17, 2008
Posts
5
Reaction score
0
Ndugu wadau napenda kujua kama kuna sheria inayo simamia haki ya taaluma ya mtu na nafasi ya kazi alionayo kwa mwajiri wake. kwa mfano mtu mwenye digree tatu anaweza akaajiria kama forman kisheria
 
degree tatu af awe foreman!!!huyo kafulia mbaya na wala hajui amesoma kitu gani na kama amesoma hajui kukitumia kisomo chake.
 
Inaelekea wewe hujasoma kabisa hata maana ya mfano hujui. changia maada achacha mikelele yako kama hujui kaa kimya
 
Back
Top Bottom