N njoka Member Joined Jun 17, 2008 Posts 5 Reaction score 0 Apr 9, 2011 #1 Ndugu wadau napenda kujua kama kuna sheria inayo simamia haki ya taaluma ya mtu na nafasi ya kazi alionayo kwa mwajiri wake. kwa mfano mtu mwenye digree tatu anaweza akaajiria kama forman kisheria
Ndugu wadau napenda kujua kama kuna sheria inayo simamia haki ya taaluma ya mtu na nafasi ya kazi alionayo kwa mwajiri wake. kwa mfano mtu mwenye digree tatu anaweza akaajiria kama forman kisheria
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Apr 9, 2011 #2 degree tatu af awe foreman!!!huyo kafulia mbaya na wala hajui amesoma kitu gani na kama amesoma hajui kukitumia kisomo chake.
degree tatu af awe foreman!!!huyo kafulia mbaya na wala hajui amesoma kitu gani na kama amesoma hajui kukitumia kisomo chake.
N njoka Member Joined Jun 17, 2008 Posts 5 Reaction score 0 Apr 9, 2011 Thread starter #3 Inaelekea wewe hujasoma kabisa hata maana ya mfano hujui. changia maada achacha mikelele yako kama hujui kaa kimya
Inaelekea wewe hujasoma kabisa hata maana ya mfano hujui. changia maada achacha mikelele yako kama hujui kaa kimya