Ukara Fish: Dagaa wa kukaangwa wa Mwanza

Sema mnapiga faida sana,debe 1 la safi kabangaja,Kayenze kubwa/Ndogo haivukagi 15,000.

Kukaanga 2ltr za mafuta,kuni mbili tatu ,kuuza 40,000 faida 15,000 chap.[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Na mimi nakuja Igombe kukaanga dagaa.
Wajasiriamali hiyo ndo tunaiita 'UPANDISHAJI WA THAMANI'
Debe 1 la wabichi sh.15000
Debe 1 la waliokaangwa sh.40000
Debe 1 la walio kwenye package ya kisasa kabisa sh.80,000
 
Karibuni sana tupeana sapoti katika kulisukuma hili gurudumu
 
Mkuu nlshangaa sana! tungenunua gunia afu famia ya 3 tungekunyw had supu ya dagaa maana 40 gunia
 
Mnatumia maguta ya aina gani kukaangia..wengine tuna limit ya mafuta...nijuze tafadhali
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…