Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ebu poa kidgo mteule wa rais....kwani mzgo ulivyozid wahusika hawakuliona na hao wahusika wanafnya kazi zao kwa niaba ya nan......?

Kumtetea jiwe ujitoe akili uwe mwehu Kwanzaa na uwehuke kwelikweli......ndo mana Jana akasisitza eti isiwe kiki za kisiasa
 
Maajabu ya dunia. Mbatia kapata habari ya msiba kaita waandishi. Na wengine wengi kazi yao Kutweet ujinga. Sasa ukiwapa madaraka Hawa wataongoza Watu Au nyani kwa Kukosa utu.
Machozi???

Wewe na ccm mna akili sawa.
Kumbe ilivyofika saa tatu mkasema hatuendelei na uokoaji lengo lenu wafe wote ili muone machozi ya Mbatia na wenzake?

Pumbavu kabisa!
 
Wana siasa wanajuana kama wapemba kwa viremba wanasiasa wapo kazini saa24 kusifia na kukosoa ndio kazi Yao....
 
kama taifa tunahitaji kuwa wa kweli na kuyasemea matatizo yetu kwa umoja wetu. tuishauri serikali yetu na vyombo vyake kuwa makini wakati wote. Nguvu kubwa inayotumika katika maswala ya kisiasa, itumike basi katika kulinda uhai wa raia. na uhai wa raia uwe ndio kipaumbele chetu. Ukiachilia mbali vivuko bado kuna maeneo mengi hayapo salama.hivyo unaweza ukadhani ni kivuko tu kesho ukajikita na wewe ni muhanga katika ndege au treni. niwakati wa kufanya siasa zenye manufaa kwa taifa.
 
Vifo vya kujitakia kwa uzembe wa serikali..

Gharama ya kivuko kama cha Magogoni maximumly ni 10Bil..

Tumeshafanya chaguzi za marudio za KIJINGA kabisa ambazo wabunge wameamua wenyewe kujiuzulu then hao hao wakagombea tena na wakashinda na zimeshagharimu 60Bil mpaka sasa..

Hii pesa ingetosha kununua vivuko 6 vipya na kusambazwa kwenye sehemu mbalimbali na kuondokana hata na hii ajali ya juzi.

Acha pesa mabilioni ambazo zimeshatumika kuwanunua wabunge na madiwani wa upinzani halafu mtu anakwambia yeye yupo kwa ajili ya wanyonge wa nchi hii..

Serikali ya ovyo kabisa isiyojali wananchi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…