Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Pole Sana wafiwa. Mungu Wetu ni Mungu WA rehema. R. I. P Marehemu wote Amen
 
Mbatia na Zitto ni wapiga mbizi!!!
 
Yote aliyoyasema kwenye press ya Jana ni uongo mtupu. Mbunge wa Ukerewe kuweka kula kitu hadharani soon kuhusu hoja take ya kivuko aliyoitoa bungeni. Stay tuned nitawajuza kupitia hapa hapa!
Hatuwezi kubali uchafuzi kwa wasio na hatia ,uzembe wa wachache serikalini ,usisababishe serikali nzima kulaumiwa,
Mbunge aweke wazi nini kilifanyika (hatua) baada ya kuiomba serikali kufanyia kazi ombi lake ,tusipepese macho,nongwa zimezidi mno
 
Ngoja tusubiri wale dayaspora waliotuchangia makontena 800 ya fenicha za walimu, hapa kwenye rambi rambi watatoa nini. Mimi macho kodo
 
Yote aliyoyasema kwenye press ya Jana ni uongo mtupu. Mbunge wa Ukerewe kuweka kula kitu hadharani soon kuhusu hoja take ya kivuko aliyoitoa bungeni. Stay tuned nitawajuza kupitia hapa hapa!
yani wee jamaa tangu muende kupima DNA namke wako nakuthibitika watoto watano uliowalea toka kuzaliwa ukidhani ni wako kumbe imethibitika ni wa Mbowe.

Kinachokuuma zaidi hao watoto wana damu ya kichaga ingekuwa nafuu labda baba yao angekuwa kanda ya ziwa.

Walrus wewe
 
Kuna zile light plant zinatumika migodini usiku.. je hazipo huko mwanza?
 
Msiopenda kuambiwa ukweli wala kushauriwa, yaani ninyi watu sijui hata muambiweje! Hata Mungu hamuogopi?

Mkuu wa mkoa anaamrisha zoezi la uokoaji lisitishwe kwa sababu ya Giza huku ndani ya maji kuna watu wanasikika wakigonga kuta za meli, watu wanalalamika ninyi mnadai ni siasa. Mungu atupe uvumilivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…