Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mbona kama hatiririki kama mhusika!? Kuna kitu
 
Alivyojipaka oil alizuia metabolism mkuu. Ameziba matundu ya vinyweleo mwilini hivyo kufanya mambo ya metabolism yaende taratibu sana mkuu. Pia imekuwa kama insulator dhidi ya maji maana mwili ungeanza kumenyeka kama magome ya mti.
Kama alishtuka akaenda kujifungia mle kwenye chumba chao yaani alikuwa ameshakosa pumzi ya kuongea akawa anagonga gonga kwa ndani hadi waokoaji wakamsikia
 
True heri tungesitiza kurudia uchaguzi za kuifurahisha ccm za majimbo matano tu tupate kivuko
Sahihi mkuu. Kibaya ni kujenga uaminifu kwa wananchi bila kutilia mkazo wa kutosha kwenye changamoto zao.
 
Hiyo kazi ngumu sana...

Inasemekana meli inapopataza tatizo na hatimae kuzama wanatakiwa wawe watu wa mwisho kabisa kutoka kwenye meli...

Cc: mahondaw
 
Ni tukio la kusikitisha sana hili.Kifo cha maji ni cha kuogofya sana.Hasa kufa kabisa ukijiona.Mungu azilaze Roho za Marehemu mahala pema peponi na Manusura namwomba Mungu wetu mwema abariki kila watakachofanyiwa cha kuwaponya na hatimaye warudi katika hali zao za kawaida.
 
Alivyojipaka oil alizuia metabolism mkuu. Ameziba matundu ya vinyweleo mwilini hivyo kufanya mambo ya metabolism yaende taratibu sana mkuu. Pia imekuwa kama insulator dhidi ya maji maana mwili ungeanza kumenyeka kama magome ya mti.
Unafahamu maana ya metabolism?
 
Je huyu fundi mkuu aliyekaa saa 48 vipi? Usicheze na MUNGU mkuu
 
Sasa mtu kama huyo ukmwita ndo kawatoa kafara utakataaa??
Mita 50 kutoka nchi kavu, watu wanateketea kisa giza? How comes. Huyu ni kupiga risasi hadharani!
 
Engine room kuna watertight doors na bulkhead ambazo haziruhusu maji kuingia. Na kuwa na oil mwili mzima hii huenda imetokana na chombo kupinduka so oil imemwagika tu hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…