Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
TANROADS wana wahandisi wabobezi wengi tu. Lakini katika ukarabati wanaotaka kufanya hapo Bagamoyo Rd/Goba rd junction, wameshindwa kabisa kufanya matayarisho ya kutosha. Leo asubuhi foleni ni mbaya mno upande wa Bagamoyo rd.
Hivi mbona hawaoni wenzao pale Mwenge-Morocco kazi zinaenda na hakunausumbufu kwa traffic kwenda na kurudi toka mjini DSM.
TANROADS tujifunze kuwa na weledi katika hili.
Hivi mbona hawaoni wenzao pale Mwenge-Morocco kazi zinaenda na hakunausumbufu kwa traffic kwenda na kurudi toka mjini DSM.
TANROADS tujifunze kuwa na weledi katika hili.