Ukarabati MV Victoria, MV Butiama waridhisha

Unawaza kwa kutumia makalio nani kakwambia mv
Pumbafu zenu mnapaka rangi vimeli vibovu ili kutoa sadaka wananchi kama mlivyofanya kwa MV. BUKOBA?
vimeli vimechoka ile mbaya mnaanda kafara, mtaanza kufa ninyi .
 
MV Liemba ilizamishwa na wajerumani, miaka kadhaa baadae iliibuliwa na waingereza. MV bukoba kuna umuhimu wa kufikiria kuiibua na project hiyo jeshi linaweza.
Hawataibua kwa sababu meli ile iliundwa chini ya viwango Stability ilikuwa ndogo.
Ni scandal kubwa ,wafiwa wanaweza kuiburuza serikali mahalamani kudai fidia ya mabilioni
 
Hizo ship side plate zimekatwa kwa sababu gani?Ni kuongeza gharama.Maji ya ziwa Victoria hayana chumvi ,hivyo si rahisi chuma cha meli kupata corrosion ukilinganisha na meli iliyo baharini.
 
Hawataibua kwa sababu meli ile iliundwa chini ya viwango Stability ilikuwa ndogo.
Ni scandal kubwa ,wafiwa wanaweza kuiburuza serikali mahalamani kudai fidia ya mabilioni
Sidhani kama wananchi wanaweza wakafungua kesi.
Maana meli ilikuwa inatakiwa ifanyiwe marekebisho na wabelgiji baada ya mwaka kabla ya ile ajali.

Stability ilikuwa tatizo lakini nilijaribu kufatilia kitaalamu zaidi ile meli ilikuwa na matanki 12(Ballast Tanks) chini. Ambayo mengine yalikuwa yakitumika kwa ajili ya maji safi, mafuta na ballast water.

Tatizo nadhani ilikuwa ni bad cargo plan na maofisa kushindwa kutumia vizuri zile tank.
 
Stabiliry was qustionable and was ignored .They tempered with permanent stability tanks creating free surface effect on slack tanks at listing condition hence compromising the seaworthness of the ship.
 
Mistake zilizofanyika kipindi kile ilitakiwa ziwe somo la kujifunza ili kosa lisirudiwe tena.

Na chombo kikitengenezwa maofisa wa uongozaji na injini wawe wanapewa elimu kuhusu chombo hicho na mtengenezaji.
 
Hawataibua kwa sababu meli ile iliundwa chini ya viwango Stability ilikuwa ndogo.
Ni scandal kubwa ,wafiwa wanaweza kuiburuza serikali mahalamani kudai fidia ya mabilioni
kama tungekuwa na true separation of powers, hilo lingewezekana. Leo ni mahakama IPI inaweza to a hukumu kama hiyo! Kabla ya hukumu atasikika MKUU akisema mimi silipi, na mwingine ataitikia ' bora itokee constitutional crisis'.
 
Mkuu kila jambo lina mwisho,wanaichelewesha tu lakini ipo siku haki itakuwa wazi.
 
Mistake zilizofanyika kipindi kile ilitakiwa ziwe somo la kujifunza ili kosa lisirudiwe tena.
Na chombo kikitengenezwa maofisa wa uongozaji na injini wawe wanapewa elimu kuhusu chombo hicho na mtengenezaji.
ajira siku hizo hazifuati weledi, hata promotion za kada za kutaaluma zimeingiliwa na siasa. Mbali ya hayo MH!
 
Hii inawezekana tayari kuna kampuni za wa Norway na Italia kazi zao ni kuibua meli zilizozama (Wrecks).
Na kama mnataka pesa wao wanainunua kama skrepa kwa bei nzuri kwa kila kilo ya chuma.
wewe hilo walijua, lakini naamini kwenye nchi tangu maziko ya wahanga wa meli hiyo yalipofanyika kule Igoma, kila kitu kiliishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…