Ukarabati na ujenzi wa viwanja vipya vya michezo

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Kama kuna mdau hapa ana taarifa juu ya mpango wa Serikali kujenga na kukarabati viwanja vipya vya michezo aje atupe taarifa.
 
Serikali haina mpango kama huo na hata vile viwanja ambavyo ccm walinyakua hawasemi ni lini vitarudishwa kwa wenyewe.
 
Kwenye bajeti iliyopita serikali ilitenga fedha kuweka nyasi bandia kwenye viwanja sita ila hakuna kilichsfanyiwa ukarabati hata kimoja na kwenye ripoti ya CAG sijasikia akiongelea hii.
 
asante kwa mrejesho
 
Back
Top Bottom