Ukarabati wa uwanja wa taifa yaibua mengi..kafara ,uchawi,vitu vilivyozikwa zaanikwa

meneja wa uwanja atimuliwe inakuwaje vitu vinafukiwa wakati uwanja unalindwa masaa yote
 
meneja wa uwanja atimuliwe inakuwaje vitu vinafukiwa wakati uwanja unalindwa masaa yote

Naona wale wa mwagiliaji uwanja na wakata nyasi ndo wanacheza haya madili ...ila si shangai maana hata Diamond analo ofisini kwake
 
Mi nahisi timu hazihusiki bali wajenzi ndio waliotoa kafara zao
 
Utajiri wao wanafanya hivyo..refer kifo cha ajabu cha mtoto wake
Mtoto wake yupi? Au unazungumzia Khalid? Kama unazungumzia huyo basi we jamaa una imani za kishirikina balaa, mtu alikuwa speed 200 halafu apate ajali afe unaona kitu cha ajabu?
 
CCM watachomwa sana moto siku ya Kiama.

Waendelee tu.
ccm wamekushika pabaya...wabaya sana hawa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
we unashindwa kuwaendea sumbawanga ukafanye mambo wageuke panya?
Asprin msindikize sumbawanga huyu
 
Azam hakuna hayo mambo timu ya shehe ile mwendo wa dua tu....ila mpaka fuvu la kichwa hii sasa balaa na walichimbaje na kuweka humo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA

Ati timu ya Shehe!! Dah! Haya banaa hatusemi kitu hapo. Dua ya mpira!! Si ni uchawi ka mwingine tu?? Hata lini jamani?? Kasomeeni mpira hamjui nao ni ajira kama ilivyo uhasibu?? Mnabaki kutumainia milingotini. Poleni
 
ccm wamekushika pabaya...wabaya sana hawa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
we unashindwa kuwaendea sumbawanga ukafanye mambo wageuke panya?
Asprin msindikize sumbawanga huyu

Mlete fasta nimfanyie mambo
 
Nime zoom ila saja pata conclusion kama ni fuvu! Nahisi mtu mmoja ali anzisha hii habari ku mislead watu! Naona ime trend sana. Otherwise zipatikane picha nyingine zaidi ya hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…