Ukarabati wa uwanja wa taifa yaibua mengi..kafara ,uchawi,vitu vilivyozikwa zaanikwa

Azam hakuna hayo mambo timu ya shehe ile mwendo wa dua tu....ila mpaka fuvu la kichwa hii sasa balaa na walichimbaje na kuweka humo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
HIVI SHEIKH YAHAYA ALIKUWA NA MAJINI MANGAPI VILE ................. HAO NDO LUCIFER MWENYEWE
 
Azam hakuna hayo mambo timu ya shehe ile mwendo wa dua tu....ila mpaka fuvu la kichwa hii sasa balaa na walichimbaje na kuweka humo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Nimeipenda ha yo maekezo ya ko uliponunua iPhone 7 ya ko ila unguweka na bei na receipt namba kabisa
 
Nimeipenda ha yo maekezo ya ko uliponunua iPhone 7 ya ko ila unguweka na bei na receipt namba kabisa
Nafasi haitoshi

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hivi huo uchawi unawasaidia nini? juzi tu tumeshindanishwa ili tucheze na Everton tumetepeta Kenya ndio wakacheza kwenye uwanja wetu.

Hakuna chochote tunaweza tunakimbilia ushirikina, bure kabisa.
 
Waliopanda nyasi zilizotolewa ndo walifukia hilo, kwani kuna siku uwanja umekutwa umechimbwa ? mbona tunakua hatufikirii asee

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…