johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini?!!Sio kweli. January Makamba must step down
Unafahamu nini kuhusu KPI?Kwanini?!!
Hata hawaeleweki wanachokizungumza!!mala mama kasema, mala tumefanya utafiti wa kupitisha gesi kwenye mabomba ya TPDC, mala maji yameongezeka, leo tena eti ukarabati umefikia 30%!!!Sema hili swala la umeme kuna siasa na nyingi sana plus faulo za hatari.
Funguka boss, maana wataalamu wenyewe wanaosemewa kuwa wana matengenezo wanashangaa 🤣🤣🤣Sema hili swala la umeme kuna siasa na nyingi sana plus faulo za hatari.
KPIUnafahamu nini kuhusu KPI?
Wezi hao wanshindwa washike lipi waache lipi ,wanajikanyaga wenyewe shenzyx kabisaHata hawaeleweki wanachokizungumza!!mala mama kasema, mala tumefanya utafiti wa kupitisha gesi kwenye mabomba ya TPDC, mala maji yameongezeka, leo tena eti ukarabati umefikia 30%!!!
Rais mpumbavu uzaa serikali pumbavu ...ni Nyerere voice .Hata hawaeleweki wanachokizungumza!!mala mama kasema, mala tumefanya utafiti wa kupitisha gesi kwenye mabomba ya TPDC, mala maji yameongezeka, leo tena eti ukarabati umefikia 30%!!!
Ukarabati umefikia asilimia ngapi kwa sasa??Msemaji wa Tanesco ndugu Mwambene amesema ukarabati wa vinu vya gesi huko Songosongo umefikia 30% kufikia leo.
Mwambene amesema ndani ya siku 10 hali ya umeme itarejea kama kawaida kwani hata sasa mgao umepunguzwa sana.
Source: ITV habari