Kitandani kutakufaa zaidi.
First Born niombe radhi tafadhali mgeni anataka kupumzika na sehemu nzuri ya kupumzika ni kitandani...Ewe roho ya uzinzi unaemnyemelea Katavi nakukemea kwa jina la Yesu! @ Amkatrina karibu sana jamvini tunathamini mchango wako!
First Born niombe radhi tafadhali mgeni anataka kupumzika na sehemu nzuri ya kupumzika ni kitandani...
Pita ndani.:flypig::A S 465:Jamani waungwana na waso.
Am new member.
Me sideki hvyo nipeni Busati niketi