Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 905
Habari zenu wana GT,
Napenda kujitambulisha tena ndani ya jukwaa hili tafadhali mnipokee. Mimi ni mgeni kabisa ila nmejifunza mengi kupitia hii Jf hata kabla ya kuingia, nmecheka sana kwa kipindi kirefu nilichokuwa nafuatila post mbalimbali katika jukwaa hili, nmejifunza mengi sana kutoka kwenu. hatimaye nikashawishika kujiregister tu, mana kuna wakati nilitamani kucomment ila ndo hivyo tena.
Majibu ya aina zote niliyaona mahali hapa, hasa yale ya kukatisha tamaa yanaleta raha pindi yanapokufanya ucheke ukiwa stressed. nimejiandaa kwa majibu yote naamini katika hayo pia kuna faida.
Tafadhali mnipokeee. Yeye aliye juu na awabariki.