Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaNdugu zangu nawaomba mnikaribishe mgeni katika jukwaa. Nmekuwa mwanajumuia kwa kuchungulia tu lakini sasa nimevutiwa kuwa mwanachama hai. Asanteni sana.
Ndugu zangu nawaomba mnikaribishe mgeni katika jukwaa. Nmekuwa mwanajumuia kwa kuchungulia tu lakini sasa nimevutiwa kuwa mwanachama hai. Asanteni sana.
Nimukuwa❎Nmekuwa✖️
Nimukuwa✔️
Sawa Honi SigalaNimukuwa❎
Nimekuwa✅
🙄 🙄 Kiswahili kina wenyewe.Sawa Honi Sigala
Ila imeniuma sana kunibahatisha
Nimekuwa✖️
Nimekua✔️
Muwe mnasema, huku kuna kitengo cha kupokea wageni waremboMimi ni kidume ndugu yangu. Asante sana
Naunga mkono hojaMuwe mnasema, huku kuna kitengo cha kupokea wageni warembo