Unaelewa Yale maovu yanaweza fanya na mtu yeyote ?Chadema pasipokuwa na dikteta ni chama chenye nguvu kubwa sana. Sasa kuna watu wamebaki wakilalamika kuhusu kusemwa vibaya kwa shujaa wao aliyefariki. Hawa ni wale waliokuwa wanafaidika na propaganda zake. Magufuli alifanya maovu mengi na ndio maana alifunga midomo vyombo vya habari na sasa hayupo hivyo yote aliyozuia yasisemwe ndio wakati muafaka wa kuyasema. Yapo mengi yanakuja!
Asiye na akili na utu kama JPM.Unaelewa Yale maovu yanaweza fanya na mtu yeyote ?
Unajua tuhuma bila ushahidi ni uzushi ?Asiye na akili na utu kama JPM.
Anything is possibleHivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya hayati magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi ,cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha Image ya Hayati ina haribika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha hayati magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya Kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia hayati magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Yawezekana mtu namba moja, aliyekuwa anakelwa na utawala wa magufuri ni Rais SamiaUkisoma VIZURI story ya yoga unatambua Kwamba!
Teka teka ile haikufanywa na jpm YOTE kama yote bali kuna genge lilifanya KWA MASLAHI mapana ya kumchafua Ili akosr credibility KWA wananchi Ndio Ndio Maana Hata mo alivotekwa marehemu alishangaa inakuajet mtu maarufu anatekwa mambo sasa yupo na igp yupo na hawajui!
Ilionyesha kuna baadhi ya Mambo hata yeeye alikua hajui yalifanyika kumchafua!!
Hata saanane alipewa na nani Siri KUHUSU phd ya kununua!!?
Kama sio MFUMO KWA kumsaliti Ili ku expose anxiety YAKE!!?
Yapo Mengi yamejificha Sana MUNGU ndio anaejua!!
Very possibleYawezekana mtu namba moja, aliyekuwa anakelwa na utawala wa magufuri ni Rais Samia
He kumbe ni kweli alikuwa na Phd ya Magumashi!!Ukisoma VIZURI story ya yoga unatambua Kwamba!
Teka teka ile haikufanywa na jpm YOTE kama yote bali kuna genge lilifanya KWA MASLAHI mapana ya kumchafua Ili akosr credibility KWA wananchi Ndio Ndio Maana Hata mo alivotekwa marehemu alishangaa inakuajet mtu maarufu anatekwa mambo sasa yupo na igp yupo na hawajui!
Ilionyesha kuna baadhi ya Mambo hata yeeye alikua hajui yalifanyika kumchafua!!
Hata saanane alipewa na nani Siri KUHUSU phd ya kununua!!?
Kama sio MFUMO KWA kumsaliti Ili ku expose anxiety YAKE!!?
Yapo Mengi yamejificha Sana MUNGU ndio anaejua!!
Yes, hasa upande wetu wa CCM na serikali ukimya umekuwa mwingi sana. Sijui hatima yake. Nakumbuka hata Mzee Mkapa walipoanza kumzonga sana Dkt Kikwete alichimba mkwara watu wakaacha. Ila kwa upande wa Dkt Magufuli sijui kwa nini iko hivyo. Yaani mtaani watu wana mlaani sana Rais Samia.Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Weye nawe! Kama walihusika sasa serekali ilikuwanga wapi?Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Huu ukimya unatia Shaka sanaYes, hasa upande wetu wa CCM na serikali ukimya umekuwa mwingi sana. Sijui hatima yake. Nakumbuka hata Mzee Mkapa walipoanza kumzonga sana Dkt Kikwete alichimba mkwara watu wakaacha. Ila kwa upande wa Dkt Magufuli sijui kwa nini iko hivyo. Yaani mtaani watu wana mlaani sana Rais Samia.
Pumbaf7u weweHivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Ushauri: Tafuta sumu unywe ufe hakuna jinsi nyingine.Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Kuchamba kwingi ni kujipaka kinyesi tu,wanavyozidi kumtetea yule mwovu ndiyo wanazidi kumuumbua. Kuna wale wanaosema Tundu Lissu alistahili kuuwawa kwa vile alikuwa msaliti ikipigilia mstari kuwa kweli Serikali ilihusika.He kumbe ni kweli alikuwa na Phd ya Magumashi!!
CCM ndio walimkandamiza mwendazakeHivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Wacha kupindua maneno, Magufuli alikuwa shetani bana.Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.