Ukaribu wa Diamond Platnumz na DJ Fetty watu wana wasiwasi nao

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hot in town is concerning the relationship waliokuwa nao between dj fetty na diamond the platnumz,

Kumekuwa na rumors kuwa haiwezikana watu wawili hao wakawa na ukaribu kiasi hicho, kiasi ambacho wamekuwa wakipost kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara picha za pamoja,

Kama kawa stunna nimejaribu kuzisaka news na nakugundua ya kwamba the guys walikuwa nchini nigeria kwenye tour na project ya kutengeneza the new track kwa superstars wa africa akiwemo dbanj, fally ipupa na bongo tukiwakilishwa vyema na diamond , na tour yenyewe ilikuwa ni ya kuimba nyimbo ambayo itawahamasisha vijana wajihusishe kwenye kilimo.
 
Mda si mrefu wataiga style ya mdomo ya domo
 
Money Stunna hii project bongo tunawakilishwa na AY pia,sema yeye alisepa kimya kimya bila promo nyingiii kama ndomo
 
Yeah diamond kafanya poa sana kwenye iyo song kamfunika mbaya.kaka mkubwa AY
 
Money Stunna hii project bongo tunawakilishwa na AY pia,sema yeye alisepa kimya kimya bila promo nyingiii kama ndomo

AY uwa anafanya mambo makubwa na yanaonekana sema hapendi kujitangaza hapewe sifa.

Si mtu wa kupenda sifa, wengine kila kitu hakinunua lazima hajitangaze ata hakiazima usema vya kwake.

AY hana tofauti na mzungu kichaa
 
Huwezi mtu ukajitangaza una 1billion bank kisha umepanga Sinza : Nikki Mbishi
Unataka kusema kwamba ngoja nigoogle nachotaka kukuliza...............................network imepata kizunguzungu.
 
Kwa hiyo habari ya mujini mtoto fetty naye kanasa kwa Dangote hahahahaha............
 
Mimi domo ananikera na hiyo mi gold alafu anajidai muislam safi
 
Kama kuna ukweli, basi nawatakia kila la kheri, coz kati ya Wema na Fetty kura zangu nitampa Fetty........ila itambidi Diamond aongeze ratiba ya gym......coz Fetty ukimzengua ni mwepesi wa kugawa nakos.....
 
Ni ngumu sana diamond kumshindwa fetty!
Mana diamond kapitia maisha magumu sana! Na amekomaa vyakutosha!
Sema aongeze msosi labda !

AY uwa anafanya mambo makubwa na yanaonekana sema hapendi kujitangaza hapewe sifa.

Si mtu wa kupenda sifa, wengine kila kitu hakinunua lazima hajitangaze ata hakiazima usema vya kwake.

AY hana tofauti na mzungu kichaa

hapo kwa mzungu kichaa tafadhali, nahitaji kumfaham huyu mtu
 
Kwa hiyo habari ya mujini mtoto fetty naye kanasa kwa Dangote hahahahaha............

Sio Dangote sema un-dangote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…