Ukarimu Tuliopewa na Wakwe zetu kutokea Tarime tulipoenda peleka posa ni wakutukuka sana

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF

Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa

Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao

Niwashukuru kwa dhati Wakwe zetu kwa ukarimu mkubwa waliotuonyesha hususani kwa upande wa chakula

Tulikula kila aina ya vyakula tena kwa wingi mkubwa

Aksanteni sana

Naomba kuwasilisha

 
siku ukipigwa mapanga utuambie pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…