Ukata Klabu ya Yanga: Kamati ya kuhamasisha kuichangia klabu hiyo yatinga Bungeni! Mbunge ataka Wabunge wakatwe posho kuichangia

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo.

Keissy ameomba mwongozo huo leo asubuhi Aprili 5, 2019 baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuitambulisha kamati ya kuhamasisha kuichangia Yanga ya jijini hapa iliyoalikwa kutembelea Bunge.

Keissy amesema kutokana na uwepo wa kamati hiyo, ni vyema likapitishwa kapu bungeni ili wabunge waweze kuichangia klabu hiyo ambayo jana ilitoka sare ya bao 1-1 na Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

“Keissy amezungumza kuhusu kuichangia Yanga na mwongozo wake anazungumzia kapu kuletwa hapa (bungeni) kulingana na matangazo yaliyopo. Kwa kuwa wote tunamfahamu Keissy kuhusu mchango tumkubalie kwa maana tukatwe fedha ili,” amesema Dk Tulia ambaye alishindwa kumalizia kauli yake kutokana wabunge kuanza kupaza sauti, kuzungumza bila kufuata utaratibu.

“Wabunge tusikilizane, naomba tusikilizane waheshimiwa wabunge, nimeombwa mwongozo hapa na hili jambo linahusu wabunge kuridhia kwa mujibu wa Keissy na pendekezo lake.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu INA miaka zaidi ya sabini bado haina uwezo wa kujitegemea. Aibu sana kwa Tanzania
aibu ya karne klabu kubwa kama yanga haina vyanzo vya mapato.au ndio kusema viongozi wake wameifilisi klabu
 
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo.

Keissy ameomba mwongozo huo leo asubuhi Aprili 5, 2019 baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuitambulisha kamati ya kuhamasisha kuichangia Yanga ya jijini hapa iliyoalikwa kutembelea Bunge.

Keissy amesema kutokana na uwepo wa kamati hiyo, ni vyema likapitishwa kapu bungeni ili wabunge waweze kuichangia klabu hiyo ambayo jana ilitoka sare ya bao 1-1 na Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

“Keissy amezungumza kuhusu kuichangia Yanga na mwongozo wake anazungumzia kapu kuletwa hapa (bungeni) kulingana na matangazo yaliyopo. Kwa kuwa wote tunamfahamu Keissy kuhusu mchango tumkubalie kwa maana tukatwe fedha ili,” amesema Dk Tulia ambaye alishindwa kumalizia kauli yake kutokana wabunge kuanza kupaza sauti, kuzungumza bila kufuata utaratibu.

“Wabunge tusikilizane, naomba tusikilizane waheshimiwa wabunge, nimeombwa mwongozo hapa na hili jambo linahusu wabunge kuridhia kwa mujibu wa Keissy na pendekezo lake.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa yanga wanavyo tapatapa kuchangishana kwani timu zingine zinaishije Mfano mwadui, biashara, pamba, total africa nk?? Yaani wao wanajipitia humo humo eti timu ya wananchi changia baba changia yanga upuuzi mtupu, timu iweke mipango ya muda mfupi, mrefu kuijenga timu kuwa ya kisasa kuliko kuomba omba kila klabu zina shida bali wanajipanga na bunge lingepitisha hili hakika ningeliona la hovyo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo.

Keissy ameomba mwongozo huo leo asubuhi Aprili 5, 2019 baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuitambulisha kamati ya kuhamasisha kuichangia Yanga ya jijini hapa iliyoalikwa kutembelea Bunge.

Keissy amesema kutokana na uwepo wa kamati hiyo, ni vyema likapitishwa kapu bungeni ili wabunge waweze kuichangia klabu hiyo ambayo jana ilitoka sare ya bao 1-1 na Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

“Keissy amezungumza kuhusu kuichangia Yanga na mwongozo wake anazungumzia kapu kuletwa hapa (bungeni) kulingana na matangazo yaliyopo. Kwa kuwa wote tunamfahamu Keissy kuhusu mchango tumkubalie kwa maana tukatwe fedha ili,” amesema Dk Tulia ambaye alishindwa kumalizia kauli yake kutokana wabunge kuanza kupaza sauti, kuzungumza bila kufuata utaratibu.

“Wabunge tusikilizane, naomba tusikilizane waheshimiwa wabunge, nimeombwa mwongozo hapa na hili jambo linahusu wabunge kuridhia kwa mujibu wa Keissy na pendekezo lake.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu pole Mtani Wangu nakuona unazidi kuzama tuuuù

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Lipuli nao watataka wachangiwe, nao ni watanzania kama Yanga. Hii ni aibu kwa klabu kubwa na kongwe kama yangu kupita kuombaomba.
 
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo. Keissy ameomba mwongozo huo leo asubuhi Aprili 5, 2019 baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuitambulisha kamati ya kuhamasisha kuichangia Yanga ya jijini hapa iliyoalikwa kutembelea Bunge. Kessy amesema kutokana na uwepo wa kamati hiyo, ni vyema likapitishwa kapu bungeni ili wabunge waweze kuichangia klabu hiyo ambayo jana ilitoka sare ya bao 1-1 na Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kessy amezungumza kuhusu kuichangia Yanga na mwongozo wake anazungumzia kapu kuletwa hapa (bungeni) kulingana na matangazo yaliyopo. Kwa kuwa wote tunamfahamu Keissy kuhusu mchango tumkubalie kwa maana tukatwe fedha ili,” amesema Dk Tulia ambaye alishindwa kumalizia kauli yake kutokana wabunge kuanza kupaza sauti, kuzungumza bila kufuata utaratibu. “Wabunge tusikilizane, naomba tusikilizane waheshimiwa wabunge, nimeombwa mwongozo hapa na hili jambo linahusu wabunge kuridhia kwa mujibu wa Keissy na pendekezo lake.”

Kwani Yanga ndio inashida kiasi hicho hadi ipitishiwe kapu? au rangi ya jezi ndio sababu. . . .
bunge.JPG
bunge2.JPG
 
Mwakyembe alijitia kiherehere cha "serikali" inataka kufanya nini sijui na Manji kupigwa zengwe.Kumbe hata kuiasidia hawezi,ni unafiki wa kwenda mbele!
Kama vipi waje tu kwa MO awafadhili maana kwa hali hii kama hakutafanyika jitihada za maksudi sitashangaa kuona jengo likipigwa mnada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka ni biashara kubwa duniani na isiyo na hasara, muhimu muhimu wadau wa Young Africans kujitambua tu na kufanya mabadiliko ya kimuundo kutoka soka la kubabaisha kwenda kwenye mfumo wa kisasa wa kibiashara
 
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo. Keissy ameomba mwongozo huo leo asubuhi Aprili 5, 2019 baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuitambulisha kamati ya kuhamasisha kuichangia Yanga ya jijini hapa iliyoalikwa kutembelea Bunge. Kessy amesema kutokana na uwepo wa kamati hiyo, ni vyema likapitishwa kapu bungeni ili wabunge waweze kuichangia klabu hiyo ambayo jana ilitoka sare ya bao 1-1 na Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kessy amezungumza kuhusu kuichangia Yanga na mwongozo wake anazungumzia kapu kuletwa hapa (bungeni) kulingana na matangazo yaliyopo. Kwa kuwa wote tunamfahamu Keissy kuhusu mchango tumkubalie kwa maana tukatwe fedha ili,” amesema Dk Tulia ambaye alishindwa kumalizia kauli yake kutokana wabunge kuanza kupaza sauti, kuzungumza bila kufuata utaratibu. “Wabunge tusikilizane, naomba tusikilizane waheshimiwa wabunge, nimeombwa mwongozo hapa na hili jambo linahusu wabunge kuridhia kwa mujibu wa Keissy na pendekezo lake.”

Kwani Yanga ndio inashida kiasi hicho hadi ipitishiwe kapu? au rangi ya jezi ndio sababu. . . .
View attachment 1063249View attachment 1063250
Wabunge wengine hivi huyu Mbunge wa Wilaya Maskini hapa Tanzania wapiga kura wake ndio walichomtuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

naona bunge sasa halina kazi ya kufanya,so sad
 
Mwongozo ulioombwa bungeni jijini Dodoma na mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy akitaka wabunge kuichangia klabu ya Yanga umekwama baada ya wawakilishi hao wa wananchi kupinga hoja hiyo.

Keissy ameomba mwongozo huo leo asubuhi Aprili 5, 2019 baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuitambulisha kamati ya kuhamasisha kuichangia Yanga ya jijini hapa iliyoalikwa kutembelea Bunge.

Keissy amesema kutokana na uwepo wa kamati hiyo, ni vyema likapitishwa kapu bungeni ili wabunge waweze kuichangia klabu hiyo ambayo jana ilitoka sare ya bao 1-1 na Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

“Keissy amezungumza kuhusu kuichangia Yanga na mwongozo wake anazungumzia kapu kuletwa hapa (bungeni) kulingana na matangazo yaliyopo. Kwa kuwa wote tunamfahamu Keissy kuhusu mchango tumkubalie kwa maana tukatwe fedha ili,” amesema Dk Tulia ambaye alishindwa kumalizia kauli yake kutokana wabunge kuanza kupaza sauti, kuzungumza bila kufuata utaratibu.

“Wabunge tusikilizane, naomba tusikilizane waheshimiwa wabunge, nimeombwa mwongozo hapa na hili jambo linahusu wabunge kuridhia kwa mujibu wa Keissy na pendekezo lake.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Kessy naye kachoka.Badala ya kujadili hoja za wizi wa matrioni yeye analeta uyanga bungeni.
Shame upon him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom