Ukata Klabu ya Yanga: Kamati ya kuhamasisha kuichangia klabu hiyo yatinga Bungeni! Mbunge ataka Wabunge wakatwe posho kuichangia

Tatizo ni mfumo mbovu wa uendeshaji mpira tanzania sio tff wala wizara inayoonyesha njia.hata simba mo akijitoa hali itakuwa tete.timu ya wananchi itaendelea kuwepo itabiki kuwa juu itabaki kileleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…