Ukata ndani ya Simba SC washindwa kuvunja Mkataba wa Mwaka 1 wa Joash Onyango

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Mchezaji amebakiza mwaka mmoja tu kuna sababu gani ya kumpeleka kwa mkopo?

Si umpe pesa tu za kuvunja mkataba wake ili akacheze kwa. Uhuru. Huko aendako.

Unashindwaje kumlipa mtu mil 100.

Milion 100 jamani nio ushindwe kwweli?

Ama kweli umasikini umewachapa wakati huu.

Na Baleke kasepa huko [emoji1787]
 
Utopolo kweli ni MAJUHA. Wenye akili ni wawili tu.

Unachopaswa kujua, anayetaka kuvunja mkataba ndiye anayepaswa kumlipa counter part kiasi cha fedha stahiki kulingana na vifungu vya mkataba wao.

Baada ya kusema hayo, Joash ndiye aliyeiandikia Simba barua ya kuomba kuondoka. Maana yake yeye ndiye alipaswa kuilipa Simba kiasi cha fedha. Akishindwa basi Simba SC ikaamua kumtoa kwa mkopo huko Singida Fountain Gate.

Sasa Simba alikosaje hela ya kumlipa anayetaka kuondoka? Unatumia akili vizuri kweli?
 
Acha upuuzi sawadogo mmemlipa pesa yake ipi? Usikurupuke kuongea kitu usichokijua, sawadogo atakuwa analipwa pesa yake kidogo kidogo kwa makubaliano maalum, acha wenge milioni 700 cash mngezinyea wapi
Halafu hajaandika mil.700 ameandika Bil 7.(mil.7000)
 
Acha upuuzi sawadogo mmemlipa pesa yake ipi? Usikurupuke kuongea kitu usichokijua, sawadogo atakuwa analipwa pesa yake kidogo kidogo kwa makubaliano maalum, acha wenge milioni 700 cash mngezinyea wapi
Wewe ni bwege pia. Wote hamjui makubaliano yao, mnaburuzwa na ushabiki wenu maandazi.
 
We zuzu, Onyango ndiye aliyeomba kuondoka. Umeona wapi mtu anayeomba kuvunja mkataba analipwa?!
 
Acha upuuzi sawadogo mmemlipa pesa yake ipi? Usikurupuke kuongea kitu usichokijua, sawadogo atakuwa analipwa pesa yake kidogo kidogo kwa makubaliano maalum, acha wenge milioni 700 cash mngezinyea wapi
Sawa make wa sawadogo tumekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…