Ukata ndani ya Simba SC washindwa kuvunja Mkataba wa Mwaka 1 wa Joash Onyango

Acha upuuzi sawadogo mmemlipa pesa yake ipi? Usikurupuke kuongea kitu usichokijua, sawadogo atakuwa analipwa pesa yake kidogo kidogo kwa makubaliano maalum, acha wenge milioni 700 cash mngezinyea wapi
Leta chanzo chako cha habari ili uaminike, mtu pekee anayeweza kuaminika baada ya kusema haya uliyoyasema bila kuombwa chanzo ni mke wake tu ambae pengine waliyaongea chumbani.

Leta source.!
 
Ulivunjwa wa sawadogo ml 7000 , sembuse ml 100!!! Akili za utopolo mnazijua wenyewe.
Sawa dogo analipwa kimafungu.

Kila mwezi milioni 50 kwa mwaka milioni 600.

Za ndani hizi chukua.
 
Simba wana zaidi ya bilioni 20 za maandalizi ya Super League,sasa ukisema Simba awana milioni 100 watu wanakuona zezetahira.
Wangekuwa na pesa wangeenda kununua Miqquisone na Adebayor.

Badala yake wameleeka Kramo na Esomba Onana.

[emoji23][emoji23]
 
Mlisema hivi hivi kwa Sawadogo..mkakutwa na aibu.. Utopolo akili zenu ziko kwenye huo mwiko nyuma hapo.
Hamn jeuri ya kumlipa sawadogoo pesa yote kwa mkupuo mmoja.

Analipwa kimafungu mafungu kwa muda wa miezi 12.
 
Kila kitu huenda kwa mahesabu na makubaliano.Halafu Tsh.100 milioni siyo shilingi kumi kama ulivyoandika kwa urahisi hivyo!
 
Kila kitu huenda kwa mahesabu na makubaliano.Halafu Tsh.100 milioni siyo shilingi kumi kama ulivyoandika kwa urahisi hivyo!
Kumshindwa Adebayor nako ninmaahesabu.

Kumsajili Sawadogo nayo utasema mahesabu.

Kumshindwa miqquisone nayo ni maahesabu.

Hali ngumu pale mtani.

Kramo na Onana wote ni free Agents.
 
Kumshindwa Adebayor nako ninmaahesabu.

Kumsajili Sawadogo nayo utasema mahesabu.

Kumshindwa miqquisone nayo ni maahesabu.

Hali ngumu pale mtani.

Kramo na Onana wote ni free Agents.
Changamoto yako unaendeshwa kwa hisia tu bila kujua jambo lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…