Zanzibar 2020 Ukata wafanya UDP waache kufanya mikutano ya hadhara kwenye kampeni

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
CHAMA Cha United Democratic Party (UDP), kimesema kuwa hakitakuwa na mikutano ya hadhara ya kampeni na badala yake watapita nyumba kwa nyumba kuwasilisha sera zao.

Hatua hiyo wamesema wanaifanya kutokana na chama hicho kutokuwa na fedha za kugharamia kampeni hizo.

Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Juma Khamis Faki, alisema chama chao kwa sasa kinakabiliwa na ukata mkubwa wa fedha, hivyo wameshindwa kufanya mikutano ya hadhara ya kampeni zao.

Alisema kuwa pamoja na kuikosa mikutano ya kampeni lakini pia wameziona kuwa ni njia rahisi ya kuwafikia walengwa katika kuwaomba kura. “Tunaikosa mikutano ya hadhara, lakini katika kufanya tathmini zetu tumeona mpango huu ni bora zaidi kuliko kufanya mikutano”, alisema Faki.

Chanzo: Zanzibar Leo
 
Hiki ndio moja ya vile vyama alivyovisema Mbowe.
Nawaheshimu hawa UDP,lakini niseme wanarudisha maendeleo nyuma.
Nashauri chama kikongwe
CCM na vingine kama
CHADEMA
ACT WAZALENDO na
CUF ingawa inaishia vibakie
 
CHAMA Cha United Democratic Party (UDP), kimesema kuwa hakitakuwa na mikutano ya hadhara ya kampeni na badala yake watapita nyumba kwa nyumba kuwasilisha sera zao.

Hatua hiyo wamesema wanaifanya kutokana na chama hicho kutokuwa na fedha za kugharamia kampeni hizo.

Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Juma Khamis Faki, alisema chama chao kwa sasa kinakabiliwa na ukata mkubwa wa fedha, hivyo wameshindwa kufanya mikutano ya hadhara ya kampeni zao.

Alisema kuwa pamoja na kuikosa mikutano ya kampeni lakini pia wameziona kuwa ni njia rahisi ya kuwafikia walengwa katika kuwaomba kura. “Tunaikosa mikutano ya hadhara, lakini katika kufanya tathmini zetu tumeona mpango huu ni bora zaidi kuliko kufanya mikutano”, alisema Faki.

Chanzo: Zanzibar Leo
Poleni sana. Katibu mkuu wa chama hicho nakupa pole
 
MAPANDIKIZI hao, upepo umebadirika CCM imewatosa. Hatari sana.
 
Dah, hata homeboy hajamsaidia!
 
Kampeni ya nyumba kwa nyumba ni bora zaidi ya kwenye majukwaa maana unawafata wapiga kura na kunadi sera.
 
Back
Top Bottom