Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Drc ataingia kama nani na yeye anadai wale m23 awatumi yeye na ni wakongo,aangalie alama za nyakati wazungu wakiingia sehemu awajionyeshi walivyokua awaonyeshi kama wanamtumia yeye kuiba congo,hawa wacongo vibe lao wana kitu nyuma yao kinawasapoti
Kwa hiyo na wewe unakubali kwamba hawatumi yeye?
 
Kinyarwanda hakishabihiiani na kiha Wala Kihangaza
Acheni utapeli

Kinyarwanda kinaingiliana na Kinyambo
Yaani Mnyambo ahitaji umtafisirie kinyarwanda kifupi hizi lugha Zina tawi Moja.

Kiha na kiangaza kina ingiliana na Kirundi kwa asilimia kubwa.

Kumbuka kihaya kina maingiliano makubwa na kiganda
Hata Omukama wa kihaya alikuwa chini ya chief wa Baganda kingdom.
 
Kwa hiyo na wewe unakubali kwamba hawatumi yeye?
Anawatumia na ndio atakapoingia congo dunia itatambua kama ni yeye ndio chanzo cha vurugu congo,na yule tshesekedi ana ukaribu na mataifa ya magharibi,kitakachokuja siku za mbeleni huko wazungu wataiba madini kwa kushirikiana na serikali ya congo yenyewe na ndipo watakapowadump watu wa jamii ya pk
 
Wewe ni Mpuuziiiiiii, hujui kitu!
 
Wewe ni Mpuuziiiiiii, hujui kitu!
Asante ila Kuna jamaa hapa amekwambia hata hapo Tabora Kuna eneo linaitwa Utusini.
Sasa unapinga nini?
Mimi ambaye Karagwe naijua nje ndani na wewe mjinga mmoja unayepinga huku kila mtu ana kupinga.

Hongera popoma
 
Asante ila Kuna jamaa hapa amekwambia hata hapo Tabora Kuna eneo linaitwa Utusini.
Sasa unapinga nini?
Mimi ambaye Karagwe naijua nje ndani na wewe mjinga mmoja unayepinga huku kila mtu ana kupinga.

Hongera popoma
Sipotezi muda na wapuuzi! Mtu anayesema Kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda ni mwendawazimu tu
 
Dunia inatambua siku nyingi tu kwamba m23 ni Kagame, walikuwa wanamfumbia macho tu. Hivi sasa, kutokana na sababu ambazo wao ndio wanazijua kiundani wameamua kumuonyesha kuwa hawamfumbii macho tena.

Wamemuambia kuwa anahusika na mgogoro wa DRC.
 
Nelson Jacob Lushasi, rudi kwenu ukaone jinsi Kasri la Ntare Lushasi ririvokarabatiwa, utafurahi na roho yako

Nimejaribu kuwaambia mimi ni mnyambo ila kinyarwanda naelewa sababu koo za Wanyambo ni za kitusi pia!!!! Some people wakanibishia ila kiukweli upo sahii Msomi
 
[emoji1787]Mkuu usiwe na wasiwasi. Unaogopa utaambiwa urudi nyumbani?
Sisi waTZ ni wakarimu sana, so usijibu kwa jazba
Namuelezea tu historia sababu mababu zetu hawakua na mipaka!!!Mipaka waliweka wakoloni!!Mimi babu zangu waliingia karagwe miaka kama 400 hivi iliyopita!!!Sasa yeye alikua ananipa historia ya 1920 kuhusu Tanganyika ndio ikabidi nimueleweshe!!!!Mababu zangu walikuja karagwe karne nne nyuma mpaka leo!!
 
Nimejaribu kuwaambia mimi ni mnyambo ila kinyarwanda naelewa sababu koo za Wanyambo ni za kitusi pia!!!! Some people wakanibishia ila kiukweli upo sahii Msomi
Tatizo wazazi wako ni mnyarwanda, hivyo nyumbani kwenu mnaongea kinyarwanda na Kinyambo! Hivyo unadhani kila mtoto wa Kinyambo anajua kinyarwanda. Nikupe mfano mmoja. Ikama kwa kinyarwanda ni mungu na Kinyambo ni kiungo cha mwanamke? Hizo lugha zinashabihiana?
 
Mkuu,achana na huyo jamaa,hata hapa Tabora mjini wapo wengi, mpaka kuna sehemu inaitwa ututsini.
Hao wa tabora walikuja miaka ya 1960,s na 1970,s!!!!Ila koo za Wanyambo kule karagwe ni za karne na karne na zinashabihana na koo za Watusi wa kinyarwanda kwa kiasi flani!!!Wameingiliana kwa karne na karne
 
Hapana kaka tafuta mnyambo na mnyarwanda watusaidie natoka hili!!!!Wazazi wangu hasa mababu na mababu ni koo za Watusi na koo za kinyambo(Wafugaji wa ngombe zile zenye pembe ndefu) na wakulima wadogo wadogo zilizotokea upande wa falme za rwanda karne nyingi na zimechanganyika na wahaya na wanyankole pia walioleana miaka karne!!!Mimi nimekua nasikiliza lugha zote kinyarwanda,kinyankole,kihaya na kinyambo!!!!!!Kama wewe ni mnyambo wa karagwe kwa kuzaliwa utanielewa!!!!!
 
Hizo lugha zinaingiliana kasoro kinyaru kinaingiliana na kiha, rundi na hangaza
 
Hizo lugha zinaingiliana kasoro kinyaru kinaingiliana na kiha, rundi na hangaza
Asante msomi kwa kunisaidia mimi ni mnyambo waliochanganyika na koo za Watusi ila naelewa lugha zote kuanzia kinyambo,kihaya,kinyarwanda,kinyankore na kiangaza!!!But some people wanakataa wakati sio Wanyambo wala Wahaya
 
Ulianza vizuri Ila umekosea mwisho , uku Congo akuna Kabila linaloitwa wanyamurenge
 
Wale Watusi waliolowea kwa karne nyingi milima ya mulenge unawaitaje??????
 
Wale Watusi waliolowea kwa karne nyingi wa milima ya mulenge unawaitaje??????
 
Hivi kweli inamaana viongozi wameshiwa kabisa kumaliza hili tatizo huko drc ? Hii chuki ndio ilileta genocide 1994 na mambo haya yakiendelea kuachiwa ni hatari sana. Pls eac wana kazi ya kufanya kuwashughulikia hawa raia wa Congo wanaowatesa wenzao imenisikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…