Ukatili wa Polisi: Afisa wa polisi anaswa kwa kamera akimtesa mtuhumiwa

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kwa mara nyingine Idara ya polisi nchini Kenya, imejipata pabaya kuhusu utumiaji wa nguvu kupita kiasi, katika kukabiliana na washukiwa wa uharifu.

Katika picha afisa wa polisi akionekana akifanyia unyama kwa kumuadhibu visivyo mwanamume mmoja eneo la viwandani mjini Nairobi.
 
Du Africa [emoji16] [emoji22] [emoji22] Police brutality
 
Utendaji kazi wa polisi haujaimarika kwa raia Afrika. Askari achukuliwe hatua kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…