Ukatoliki ulivyoenea Congo

Ukatoliki ulivyoenea Congo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1566110201238.jpeg

King Leopold ndiye muanzilishi wa harakati za kueneza dini Congo.

Alileta misaada mingi lakini pia alijinufaisha kwa madini na meno ya tembo.

Hii picha ina maneno 1,000. Wapagazi wote wamevaa nguo za magharibi.
 
ndio maaana hakuna utulivu nchi yoyote ikijaa sana ukatoliki lazima machafuko yatokee eg Rwanda, CAR na huko Congo.
basi hapo kawaambia wakimbeba ndipo watapata baraka za bwana hahahaaaa
 
ndio maaana hakuna utulivu nchi yoyote ikijaa sana ukatoliki lazima machafuko yatokee eg Rwanda, CAR na huko Congo.
basi hapo kawaambia wakimbeba ndipo watapata baraka za bwana hahahaaaa
Ni kama ukatoliki ulivyojaa Somalia.
 
Ni kama ukatoliki ulivyojaa Somalia.
Somalia hakuna ukatoliki bali Waamerica ndio walioiharibu nchi kwa kumtoa kiongozi wa watu na kumpandikiza wanaomtaka wao hatimaye nchi haitulii. bila shobo za America pangekuwa shwari pale. cheki Libya kwanza nani kaharibu
 
Somalia hakuna ukatoliki bali Waamerica ndio walioiharibu nchi kwa kumtoa kiongozi wa watu na kumpandikiza wanaomtaka wao hatimaye nchi haitulii.

Hebu twende taaratibu Marekani ilimtoa kiongozi gani na kumpandikiza kiongozi gani
Nasubiri kwa hamu unijibu
 
Patrice Emery Lumumba, Tena Wabelgiji walikuja kuomba radhi kwa mauaji ya Lumumba na kutotulia kwa siasa za Congo 1961
Kuna mdau hapo juu kaizungumzia somalia...soma vizuri mkuu kabla ya ku coment
 
ndio maaana hakuna utulivu nchi yoyote ikijaa sana ukatoliki lazima machafuko yatokee eg Rwanda, CAR na huko Congo.
basi hapo kawaambia wakimbeba ndipo watapata baraka za bwana hahahaaaa
Somalia na Congo wapi pana unafuu?
 
Back
Top Bottom