Ukatoliki ulivyoenea Congo

ndio maaana hakuna utulivu nchi yoyote ikijaa sana ukatoliki lazima machafuko yatokee eg Rwanda, CAR na huko Congo.
basi hapo kawaambia wakimbeba ndipo watapata baraka za bwana hahahaaaa
 
ndio maaana hakuna utulivu nchi yoyote ikijaa sana ukatoliki lazima machafuko yatokee eg Rwanda, CAR na huko Congo.
basi hapo kawaambia wakimbeba ndipo watapata baraka za bwana hahahaaaa
Ni kama ukatoliki ulivyojaa Somalia.
 
Ni kama ukatoliki ulivyojaa Somalia.
Somalia hakuna ukatoliki bali Waamerica ndio walioiharibu nchi kwa kumtoa kiongozi wa watu na kumpandikiza wanaomtaka wao hatimaye nchi haitulii. bila shobo za America pangekuwa shwari pale. cheki Libya kwanza nani kaharibu
 
Somalia hakuna ukatoliki bali Waamerica ndio walioiharibu nchi kwa kumtoa kiongozi wa watu na kumpandikiza wanaomtaka wao hatimaye nchi haitulii.

Hebu twende taaratibu Marekani ilimtoa kiongozi gani na kumpandikiza kiongozi gani
Nasubiri kwa hamu unijibu
 
Patrice Emery Lumumba, Tena Wabelgiji walikuja kuomba radhi kwa mauaji ya Lumumba na kutotulia kwa siasa za Congo 1961
Kuna mdau hapo juu kaizungumzia somalia...soma vizuri mkuu kabla ya ku coment
 
ndio maaana hakuna utulivu nchi yoyote ikijaa sana ukatoliki lazima machafuko yatokee eg Rwanda, CAR na huko Congo.
basi hapo kawaambia wakimbeba ndipo watapata baraka za bwana hahahaaaa
Somalia na Congo wapi pana unafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…