LOTTI masai Member Joined Aug 28, 2014 Posts 40 Reaction score 9 Sep 14, 2014 #1 Habari za Jpili wadau.Naomba mwenye ujuzi/ufahamu wa namna ya kukausha zabibu.Nahitaji kukausha zabibu
Habari za Jpili wadau.Naomba mwenye ujuzi/ufahamu wa namna ya kukausha zabibu.Nahitaji kukausha zabibu
Yethero Mgale JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 525 Reaction score 228 Sep 18, 2014 #2 Kwa njia ya kawaida kabisa ni kuzianika juani na uziondoe juani baada ya kukauka lakini zisikauke sana zikawa ngumu mno
Kwa njia ya kawaida kabisa ni kuzianika juani na uziondoe juani baada ya kukauka lakini zisikauke sana zikawa ngumu mno