Magufuli alisema hajaribiwiAmani iwe nanyi, tetesi nilizozipata hivi punde ni kwamba umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) unataraji kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kuongea na wananchi. Naomba tusubiri kama ni kweli. Inaelezwa lengo la mikutano hiyo ni kudai katiba mpya na kuwashukuru watanzania kwa kuchagua wabunge wengi kutoka upinzania na kuvunja rekodi ya chaguzi za nyuma. Mungu ibariki tanzania
What if?Magufuli alisema hajaribiwi
Ni kweli nimeandika nikiwa nasafiri ndo nikapata hii tetesi nilimaanisha mikutano ya hadhara era typingHedin yako..
MtukufuMagufuli alisema hajaribiwi
Sidhani kama mikutano italeta usumbufu sawa na usumbufu wanaoupata wananchi wakati wa ziara za mkulu hasa pale wanapolazimishwa kuhudhuria mikutano yake. Wananchi wamekufa moyo, kazi wanafanya lakini hali inazidi kuwa mbaya na bado wanaambiwa uchumi unakuwa.Msiwasumbue wananchi
Waacheni wafanye kazi
Amani iwe nanyi, tetesi nilizozipata hivi punde ni kwamba umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) unataraji kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kuongea na wananchi. Naomba tusubiri kama ni kweli. Inaelezwa lengo la mikutano hiyo ni kudai katiba mpya na kuwashukuru watanzania kwa kuchagua wabunge wengi kutoka upinzania na kuvunja rekodi ya chaguzi za nyuma. Mungu ibariki tanzania
Wewe utakuwa team lumumbaMaalim Seif atakuwa bench maana hana wabunge huku bara. Ukawa wameshakuwa wachovu, Dr Slaa ndiye mtu sahihi wengine wote wachumia tumbo.