Wewe ulimuamini lema na CHADEMA kipindi kile inakuwaje unaacha kuwaamini kwa sasa? Mamvi ni jizi lilokubuhu, linapaswa lifungwe, na nisuala la muda tu utaona huyo lazima aende korokoroni! Akina lema na CHADEMA ndiyo wenye ushahidiUache kumuamini Mwakyembe unayeishi nae nyumba moja mpaka leo, uje umuamini Lema asiyehusika na laana za nyumba yenu?! unachekesha kweli wewe, kwa uongo ule wa Mwakyembe mngekuwa na akili mngemkomalia aweke ushadi hadharani maana ule walioutoa kina Lema Lowasa alisema hausiki alieuandaa wakutane mahakamani, upo? Haya tangulieni mahakamani basi?!
Niliamini kabla Lowasa mwenyewe haja kanusha lakini baada ya kukanusha na Mwakyembe kashindwa kumpeleka mahakamani ndio nikaona ulikuwa wivu tu na roho mbaya, mpelekeni basi mbona muhando kapelekwa na mahakama imemuachia huru? Nae si aliitwa fisadi? Tumechoka na tuhuma za mitandaoni na nyie.Wewe ulimuamini lema na chadema kipindi kile inakuwaje unaacha kuwaamini kwa sasa? Mamvi ni jizi lilokubuhu, linapaswa lifungwe, na nisuala la muda tu utaona huyo lazima aende korokoroni! Akina lema na chadema ndiyo wenye ushahidi
eti wanasema ilikuwa kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa.Tofauti ya Magu na Mkwere iko wapi ili hali yule jaama mpaka sasa hajavuliwa uwaziri kupisha uchunguzi?
Pata juice ya embe nitumie namba za muuza duka nimtumie Kwa Tigo pesa chapu.Wasisahau na ile kesi ya mkwe wa Lowasa na meneja kampeni wa Lowasa walioiibia serikali bilioni 12.....
Hivi zile pesa za Mbowe alizovusha Singapore na Japan mnazikumbuka kipindi cha uchaguzi?Ngoma waliyocheza kwenye ESCROW ndio itakayo chezwa kwa Lugumi.
Pesa za mbowe wewe zinakuhusu nini? Acha uzwazwa tafuta zako.Hivi zile pesa za Mbowe alizovusha Singapore na Japan mnazikumbuka kipindi cha uchaguzi?
Pesa za mbowe wewe zinakuhusu nini? Acha uzwazwa tafuta zako.
Ngoma waliyocheza kwenye ESCROW ndio itakayo chezwa kwa Lugumi.
Haahaaahhaa! pole mie si wa kushindia kipande cha muhogo, natafuta hela, NAWEKA NINAPOTAKA NA KULA NINACHOTAKA.. wewe endelea kusubiri U DC.. ukimshambulia mbowe, wakati wenzako tunaendlea kuzisaka.. akili kichwani, pole kwa kushindwa kuwa mshika hela za MH. MBOWE.Unatokwa povu jingi na mchana hujala embu tafuta kipande cha muhogo ule utatupa hasara mjini hapa!