gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Arusha Chadema jashoo!!!!!!! litawatokapia kwenye ubunge vyama vyote kusimamisha mgombea mmoja sehemu ambapo chama kinakubalika mfano kigoma nccr.mwanza chadema na lindi mtwara na lengo ni kuitoa ccm marakani. my take.ccm mwisho wao hatimaye umefika source.mwananchi
Tunaelekea mahala pazuri sasa
Umenikumbusha MCHINGA SOUND BAND ilijiita kisiki cha mpingo sasahivi chali mbaya...nadhan unamaana hii safi sanaaaa.
Kwa nini sio CUF iliyoazima wachezaji?Naona CDm hali ni mbaya, mpaka wanaanza kuazima wachezaji.
Naona CDm hali ni mbaya, mpaka wanaanza kuazima wachezaji.
kina mboe wameshakata tamaa,ndo maana alisema si lazima katiba ipatikane mwaka huu,wakati wanaenda bungeni hawakutarajia kupambana na mziki mzito humo bugeni,walijua watadominate bunge lakini mambo yalivyoanza ya akina ummy mwalimu&Company ukawa wakajikuta wamepoteana,hakuna cha halima mdee,easter matiko wala j mnyika,walifunikwa wala hawakuonekana tena.Tunataka tuwapime kwanza kwenye hili la katiba kama mtaweza,,,uchaguzi bado sana shughulikrni na katiba kwanza tuone kazi yenu, either isipatikane au ipatikane ya wananchi na c ya ccm
Kwa nini sio CUF iliyoazima wachezaji?
ukawa umeamua kusimamisha mgombea mmoja wa urais na ubunge uchaguzi ujao.ni gazeti la mwananchi la leo
unaona umeongea point...umelewa mnazi!Yaani lipumba aache kugombea urais,slaa aache kugombea urais? Maalim seif aache kugombea urais? Jua litachomoza magharibi