Tetesi: UKAWA msirudie kosa mlilofanya 2015.

Hakuna vyama vya upinzani Tanzania,tuna magenge ya wasanii na wachumia tumbo

Kama ccm inavyotegemea kundi la watu wasiojulikana na vyombo vya dola kufanya siasa.
 
Ndiyo maana ya Siasa Mkuu, Mkumbo, Waitara nk hao walikua Upinzani Wameingia CCM na Vyeo juu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…