Sijajuaga ni nini kinawapaga kiburi vijana wa ccm kutukana watanzania wenzao matusi..Ndg meningitis,kwa taarifa tu ni kuwa lowassa na wafuasi wake wote wapo kila kona hasa kwenye tasnia nzm ya hbr,blogs,forums mbalimbali na vyombo vyote vya hbr vimetekwa na huyu ndg,lengo kuu ni kumsafisha na kupinga kila lisemwalo hasa likiwa nje au linapopingana na ndg lowassa na wengi wao ni hayo makundi uliyoyasema wao wapo tayari kwa lolote alimradi lowassa apate madaraka kivyovyote vile.
Suala la uadilifu ktk uongozi kwao its not an issue anymore,wanataka Mabadiliko no matter what,hivyo kuelezea udhaifu na shortfalls za cdm na ukawa na ni kupoteza muda na utapingwa sana,imani yao ni kuwa lowassa akiingia madarakani maisha yao yatabadilika kwasababu wengi wao wako hoi na wana tamaa ya maisha makubwa,wanaamini lowassa atabadili maisha yao kutoka ktk shida walizo nazo na kuwa matajiri,kiufupi wengi wao wana akili za nyumbu hivyo ht usemaje ni kz bure unapoteza muda wako
Mkuu ndio maana elimu hii inakuja hapa hapa mtandaoni.
Haijalishi unapendwa au kuungwa mkono lakini ukweli lazima usemwe.
Mkuu ndio maana elimu hii inakuja hapa hapa mtandaoni.
Haijalishi unapendwa au kuungwa mkono lakini ukweli lazima usemwe.
na "fulsa" mbona hujatolea ufafanuzi?
Dah! Unanidhihirishia kuwa ujinga upo kwenye damu yako.
Maslahi mapana ya nchi hii ni haya hapa:
1. Ukosefu wa maji wakati maziwa ni mito nchini ni bwelele?
2. Kulipia umeme wakati kimsingi hulipii ukeme bali unalipia mishahara ya EWURA?
3. Wananchi kufanywa wajinga kwa kupewa ahadi zisizotekelezeka?
4. Mawazo mmgando?
5. Wananchi kuambiwa watafanyiwa hiki wakati zaidi ya miaka 50 walishaambiwa lakini mpaka sasa hawajatekelezewa?
Au sijakuelewa?
Ukweli ni kutukalia na umasikini miaka 50+ eti
Safari hii hakuna ----.
Unapotaka nilinganishe uhalifu wa tanzania na south africa, nikishalinganisha inasaidia nini..? Nani kakwambia kwamba kipimo cha uhalifu wa tanzania ni south africa kwa nini isiwe congo, rwanda, uganda nk..!? Au kwani south kukiwa na uhalifu mkubwa inakuwa ni haki tanzania kuwa na uhalifu..?Umeshawahi kusikia uhalifu South Africa?
Unaulinganisha vipi na Tanzania?
Unatofautisha vipi kipindupindu,malaria,typhiod,Ukimwi na kisukari??
= fursa
Halafu kwenye ID yako hiyo "Recture" ndiyo nini?
Mnatia kichefuchefu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwahiyo dr mo lowassa na timu yake kwa akili na imani yk akiwa rais ndo atabadilisha hayo usemayo?alikuwa waziri mkuu na ameshika nyadhifa nyingi sana serikalini,ni lini alikemea au kubadilisha hayo usemayo?kuwa mkweli acha blah blah