Elections 2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

Mtaji huo ccm haukubaliki tena tafuteni mtaji. Yaengine uvunjifu wa amani hukunaiba kila kitu rejeauba ya kinana jana moshi na mnukuu ccm kuna kasoro nyingi tuna mijitu ovyoo tuna wezi tuna majambazi hu sasamo na kuna watu wanafiki ndani ya ccm alisema kinana mwisho wa kunuu
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.Ccm Slaa anaimaliza, mtakuja kulaumiana kwa sababu ya Huyu SLAA.
 
Unajua ni aibu na ajabu sana dar kuwa na kipindu pindu naona unaongelea kama jambo la kawaida na mzaha, ndo maana tunataka mabadiliko ili hii mizaha na kuchukulia mambo poa ikome..
alafu ccm mnapenda statistics sana wakati hali halisi haipo hivyo, hayo ya bima ya afya tuyaache maana ni is a whole lot of new discussion.
inakuwaje dawa zinaibiwa SANA lakini hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa na serekali ya ccm..!? Or vice versa ni kwamba hakuna dawa zinazopelekwa zaidi ya muhimbili na hospitali mbili tatu kubwa..?!
pale temeke kuna kipindi watoto wanakufa hodi ya watoto pale kwa umeme kukatika, na kukosa umeme wa kurun oxygen concetrator ambazo zilitolewa msaada na NMB, hospitali kama temeke inakosa standby generator la milioni 5 tu, kwa miaka 54, hizi discussion za mambo ya afya na kushindwa kwa ccm tuziache maana ni aibu hata mambo mengine kusema
 
Tunataka kutoka kwenye nchi ya KUSADIKIKA na ile ya mfalme JUHA
 
 
meningitis

1.amani haiko mikononi mwa ccm ila ni historia ya watanzania kukaa kwa amani na hatuna historia ya watanzania kupigana wenyewe kwa wenyewe kabla ya ccm,leo baba ccm mtoto ukawa kwa hiyo sioni dalili ya amani kupotea
2.El kusema anataka urais kwa udi na uvumba siyo ukweli kwa sababu kuna dhulma ya kuvunja katiba ya ccm na viongozi hawa kufuata kanuni,lakini ingekuwa ameshindwa kihalali halafu bado anataka uongozi ningekuunga mkono kwenye hiyo point.-
3.El kuhusu Wafanyabiashara biashara,hakuna chama Tanzania kinaongoza kwa kuchangiwa na Wafanyabiashara kama CCM, hilo ni jambo la kawaida kwenye demokrasia aidha itaitwa fund raising au donors au lobbyists ilimradi tumefuata system za multi party na kampeni ni hela na Wafanyabiashara ni lazima watatumika na huwezi kuwaepuka.-
4. mabadiliko ya kisiasa itakuja tu ni kujiukiza ni lini, kwa hizo hoja zako hazisaidii watu wa KANU walikuwa wakitoa hoja kuwa waliohama hawafai lakini wakenya waliamua,na wananchi wanataka mabadiliko naitakuja hata mkitumia mabilioni kwa propaganda.-
5.mimi sisemi ccm hawajafanya kazi ntakuwa mwongo ila wamebweteka na kuchukulia kama wana hati miliki ya hii nchi.kwangu nawaona kama dume lilifanya kazi na ikazeeka hivyo lazima uichinje au uiuze.
 
Last edited by a moderator:
meningitis

Umemaliza kila kitu yaani mpaka hapo wasipoelewa basi kweli sikio la kufa halisikii dawa!
 
Last edited by a moderator:

Kwa kuwa mnao mawaziri wakuu kama watendaji wakuu wa shughuli za serikali naamini jibu mnalo wahi kuwauliza kabla hawajasahau wanaweza kusena wao sii CCM hivyo jawajui
 

Hayo ya Bima ya afya tuyaache...kweli?unaijua ObamaCare??

Nitafurahi sana ukiniambia hiyo generator ni ya KV ngapi?

Hapo hapo Temeke utakuta kuna bango la lowassa likilipiwa hizo milioni ulizotaja.

Kuhusu kuibiwa kwa dawa una uhakika kwamba watu hawachukuliwi hatua?au unadhani wakichukuliwa hatua ni lazima itangazwe kwenye media?
 
katiba mpya imeishia wap?tena walioba akawapa hd wanawake usawa lakn ccm mkaitupa na hawo wanawake walio pewa 50 kwa50 mkawatupa mkakurupuka na yenu iko wap sass?

Kama ulikuwa hujui ma utaki kujua mpaka sasa hata kabla ya katiba CCM inakaribia 50 kwa 50 sasa sijui mnaojiita mabadili kuna lipi jipya?
 
Kwa hiyo Magufuli siyo mtaka Urais ? Mbona anazunguka nchi kupiga kampeni? Si angekaa hapo asubiri tuamue .
 
meningitis


"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo poro
 
Last edited by a moderator:
Genge la wahuni ,majambazi na majizi ni wale wameongoza hii nchi kwa miaka 50 kuifikisha hapa ilipo sasa.
Watanzania wanasubiri kuiona tanzania chini utawala wa raisi mtarajiwa Lowasa.
 
Mengnstu nawe ni mchumia tumbo tu.Watanzania tumechoshwa na genge la watu wanaong'ng'ania kubaki madarakani huku wakijua miaka 50 ya uongozi wao imetufikisha hapa tulipo kiasi mnakuwa jasiri kutuita malofa na wapumbavu.Mtatambua upumbavu wetu 25 oct.
 
Ukawa wametupa wapi sera za kupinga ufisadi na kutetea maadili ya viongozi waliyodai imeachwa kwenye katiba pendekezwa? Sikujua kama wanapenda ufisadi kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…