Zitto amenukuliwa na gazeti la Mtanzania akipinga msimamo wa UKAWA na huku Mzee Mrema akiwa amekataa wazi wazi kujiunga na umoja huo.
Zitto amekwisha kiasi hicho? Au kama kawaida yake anataka kuonekana tofauti? Ameogopa siri za vikao zisivuje akanyooshewa yeye vidole? Ana masirahi na msimamo wa chama tawala? Ameogopa kukutana uso kwa uso na 'wabaya' wake? Au kwa sababu hana chama?
Kama kawaida yangu nitamtaka na kumshinikiza Zitto kutolea baadhi ya mambo hasa yanayomuhusu yenye masirahi kwa taifa. Karibu Mh Zitto!