Zitto amenukuliwa na gazeti la Mtanzania akipinga msimamo wa UKAWA na huku Mzee Mrema akiwa amekataa wazi wazi kujiunga na umoja huo.
Zitto amekwisha kiasi hicho? Au kama kawaida yake anataka kuonekana tofauti? Ameogopa siri za vikao zisivuje akanyooshewa yeye vidole? Ana masirahi na msimamo wa chama tawala? Ameogopa kukutana uso kwa uso na 'wabaya' wake? Au kwa sababu hana chama?
Kama kawaida yangu nitamtaka na kumshinikiza Zitto kutolea baadhi ya mambo hasa yanayomuhusu yenye masirahi kwa taifa. Karibu Mh Zitto!

hivi huyo zzk ni zaidi ya katiba? nashangaa kuona munamjadili zitto badala ya kujadili katiba kwa manufaa ya taifa letu!!!.
hebu tuacheni siasa za kuvuana Chupi.
Ccm hawawezi kuwa wana UKAWA kwa kuwa hawana interest na katiba ya wananchi wa kawaida wa tanzania.Pia hii UKAWA ni pigo kwa ccm kwa kuwa wao waliringia umoja wao ktk chama huku wakichekelea kutokuwepo kundi jingine,sasa hawaamini yanayotokea ktk huu umoja wa UKAWALakini ni demokrasia yake. Siyo lazima wote wawe UKAWA. Natumaini wapo CCM wengi wanasupport UKAWA kwa kuwapa yale yanayoamuliwa kutoka huko kwenye vikao vyao vya SIRI.
Zitto amenukuliwa na gazeti la Mtanzania akipinga msimamo wa UKAWA na huku Mzee Mrema akiwa amekataa wazi wazi kujiunga na umoja huo.
Zitto amekwisha kiasi hicho? Au kama kawaida yake anataka kuonekana tofauti? Ameogopa siri za vikao zisivuje akanyooshewa yeye vidole? Ana masirahi na msimamo wa chama tawala? Ameogopa kukutana uso kwa uso na 'wabaya' wake? Au kwa sababu hana chama?
Kama kawaida yangu nitamtaka na kumshinikiza Zitto kutolea baadhi ya mambo hasa yanayomuhusu yenye masirahi kwa taifa. Karibu Mh Zitto!
Hawa UKAWA wakisimama hivi hivi wanachukua nchi 2015.
Sijaelewa, UKAWA ni nini
Haya mkubwa, ubarikiwehuta kaa uelewe hata siku moja
huta kaa uelewe hata siku moja