Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tumekubaliana akuna kupigakura basi simbaya mkaenda mahakamani kusimamisha haya matangazo machafu ya katibayao maana si katiba iliokubaliwa na kujumuisha wananchi,badala ya kusubiri tu kukataza watu kupiga kura,,,
Sasa kama haiwahusu ninyi UKAWA, kelele za nini? Pilipili ya shamba........?
Tuachieni wazalendo tunaojua umuhimu wa Amani,utulivu,mshikamano na Utawala wa Katiba tuichakate na kuipitisha.
Sasa kama haiwahusu ninyi UKAWA, kelele za nini? Pilipili ya shamba........?
Tuachieni wazalendo tunaojua umuhimu wa Amani,utulivu,mshikamano na Utawala wa Katiba tuichakate na kuipitisha.
Mpaka sasa siwaelewi kabisa ukawa kwanza mnamisimamo miwili isiyoeleweka mara mseme servants wenu WASIPIGE KURA mara wapige kura ya HAPANA. Kati ya hayo mawili lipi mmesimamia? Lakini niseme hakuna kitu kibaya kama kulikosea adabu taifa, kwani kwa dalili zinazoonekana mko tayari kupiga tindo jahazi tulilopanda wote alimradi tufe wote na sielewi hii jeuri mmeifikiaje. Kitendo cha kukimbia mchakato tayari ni tatizo kubwa na dhamira ya kuwagawa watanzania ndo kitu kibaya zaidi.
mnatumia mabilion kupitisha kitu ambacho mlishakipitisha Lumumba... au mnamudanganya nani?