Hahahahah... Kuna kabila Flani hivi ndo wanaijua katareloKatarelo
Mzeee kiuhakisia kiafya mwanaune anatakiwa akojoe ndani ya dk 6Unachukua dakika 15 kukojoa ina maana wewe ni jogoo la Dar??[emoji32][emoji32][emoji32]
Siasa mie nishawachoka kila siku Lissu tu mbowe hata simsikiiOhhooo.......[emoji87] [emoji87]
Naona nimepotea jukwaa, nikajua la siasa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawa mkuu, nikama vile mie nilivyo ichoka MMU kilasiku ni yenye maji kama sio kibamia