S Shilinde Wa Nzega Member Joined Dec 19, 2012 Posts 12 Reaction score 3 Dec 19, 2012 #1 Wiki hii yote nimekuwa Tarime pamoja na Naibu waaziri MJJW pamoja naibu wa Mambo ya Ndani! Kwa kweli sheria bado inachezewa! Watoto wa kike bado wanakeketwa bila uficho. Hili bado ni tatizo Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wiki hii yote nimekuwa Tarime pamoja na Naibu waaziri MJJW pamoja naibu wa Mambo ya Ndani! Kwa kweli sheria bado inachezewa! Watoto wa kike bado wanakeketwa bila uficho. Hili bado ni tatizo Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums