A
Anonymous
Guest
Kero yangu:
Shule ya Sekondari Irugwa inawataka wanafunzi wanaoripoti kidato cha kwanza kwenda na Rimu 1, pia mwanafunzi anapofika kidato cha 3 anapeleka tena Rimu.
Bado kuna michango kama vile hela ya maji na dawa ya choo. Je, hela ya captation inayotolewa na serikali inafanya kazi gani?
Wakati kuna baadhi ya shule kwenye hela ya Captation kuna fungu kwa ajili ya kuprinti mitihani?
Hili Jambo limekuwa endelevu utokana na shule kuwa kisiwani na wazazi kutofahamu chochote kuhusu haki zao za msingi na kuogopa watoto wao kupata vitisho endapo mzazi ataongonea hiyo michango.
Mimi ni mhanga moja wapo cha suala hili.
Naomba jamiiforum utusaidie kupaza sauti