Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto.
Ukienda dukani unaonyesha pesa na sio vyeti.
Maisha yanataka ujuzi na sio vyeti.
Vyeti ni mwanzo tu na sio mwisho