Uki-renew line ya Tigo, utaziona pesa zako?

Uki-renew line ya Tigo, utaziona pesa zako?

Abedkuponga

New Member
Joined
Jul 16, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Naombeni mnisaidie, hivi uki renew laini ya tigo halafu tigo pesa ulikuwa na hela, je utaziona pesa zako?
 
Ndio utaziona.
Na kila kitu chako.kasoro majina kama hujasevu kwa google ndo imeisha hovyo.
 
Back
Top Bottom