Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hizi Toyota Noah za namna hii watu wamekuwa wakilalamika sana kuhusu body yake kuwa si imara. Actually hii ni gari ya mizunguko ya town si ya kwendea shamba.
Ukiacha malalamiko ya kuwa Body yake ni nyanya nini kingine tatizo kwa gari hii? Kuna ndugu yangu anataka inunua kama gari ya family. Ategemee nini?pia kwà safari za mwisho wa mwaka anataka awe anaitumia hii na familia yake.