Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yaani kwingine wanafanya ndio mbadala wa Hiace - kipanya wakati mazingira ya barabara mabovu.Hizo gari tatizo mnazipa ruti za njia mbovu
Unajua kuna gari fulani somehow inatokea zinaendeshwa na watu wengi ambao ni rafu! Mfano Noah,IST sasa kukuta gari hizi ziko kwenye hali mbaya ni kawaida sana.Sijawahi kuona inadumu aina hii ya Noah.
Nyepesi sana haifai kwa safari ndefuBody sio imara kwani mnagongesha kwenye ukuta?
Mbona me naona lipo poa tu.
Okay, Noah zina generations mbalimbali so chagua mwaka kabisa ndio tutakua specific.
Hafu, cheki na Alphard naona imekaa vizuri.
Yaani engine ya 1az iliopo hata kwenye wish ishindwe safari ndefu 1998cc wakati napeleka daihatsu Mira Zimbabwe 2600km ikiwa na 660cc hivi hizo safari ndefu huwa namaanisha nnNyepesi sana haifai kwa safari ndefu