joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Tuonyeshe documentary kama hii kutoka nchi yoyote hapa duniani, au duniani kote hakuna Uhuru wa vyombo vya habari isipokua Kenya pekee?. Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.Wapeni wana habari uhuru..halafu ndio mtajua hamjui
Unaijua Tanzania kuliko wazawa.Wapeni wana habari uhuru..halafu ndio mtajua hamjui
Wapeni wana habari uhuru..halafu ndio mtajua hamjui
Sio Tanzania tu, nimeuliza kama kuna nchi yoyote hapa duniani jambo kama hili linatokea tufahamishane, au Uhuru wa habari upo Kenya pekee?
Tuonyeshe documentary kama hii kutoka nchi yoyote hapa duniani, au duniani kote hakuna Uhuru wa vyombo vya habari isipokua Kenya pekee?. Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
Ndivyo mnavyojidanganya hapo korogocho eeh,
Niambie ni sehemu ipi kuna uchafu kama huo Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninyi ni wachafu by nature,
Huwezi kuta takataka kama hii huku.
Alafu naona umeumia sana itakuwa na wewe ulikodisha mke wako alafu akagoma kurudi.
Unaijua Tanzania kuliko wazawa.
Ile report ya FBI imeshatoka public? Au bado imelowekwa...ili itoke nyepesi? How bout mt. Kenya Mafia's?Yani mnafiki utamjua tu...unaongea ni kana kwamba hapa duniani kuna nchi mbunge kapigwa risasi katika maeneo ya bunge na cctv bado hazijakamata tukio..nikuulize hyo movie ulishawai iona wapi hapa duniani..
Wewe si utuwekee hapa, au ninyi hamna uwezo wa kutafuta huko duniani?,Mbona mnatuwekea habari za Tanzania. Tuwekeeni hapa nchi yoyote duniani inayofanya hivi. Hahahaha, hahahaha, Hahahaha.Utayajulia wapi hayo ya duniani..wakati kila ukilala unawaza kupambazuke ndio uangalie tv stations za kenya..hta mitandaoni pia waangalia ishu za kenya...
Si upate hyo diversity kwanza
Wacha mke wako..hta wewe pia ukitaka utakodishwa...huo ni uamuzi wa mtu..kilichonishangaza ni mtu kula mwanae aliyemzaa..hyo ndo iliniuma sana
Ile report ya FBI imeshatoka public? Au bado imelowekwa...ili itoke nyepesi? How bout mt. Kenya Mafia's?
Wewe si utuwekee hapa, au ninyi hamna uwezo wa kutafuta huko duniani?,Mbona mnatuwekea habari za Tanzania. Tuwekeeni hapa nchi yoyote duniani inayofanya hivi. Hahahaha, hahahaha, Hahahaha.
Hahahaha, acha kunichafulia Uzi, tunazungumzia kuhusu hao jamaa. Kenya tatizo liko wapi, mbona mnateseka sana?. Hivi hata hili pia mnamsingizia Mungu?. Kuchota kinyesi kibichi kama mnachota MAJI ya kunywa, hata " gloves" hamuwezi kuvaa kweli?Wacha mke wako..hta wewe pia ukitaka utakodishwa...huo ni uamuzi wa mtu..kilichonishangaza ni mtu kula mwanae aliyemzaa..hyo ndo iliniuma sana
Sina mke labda huyo wako uliemkodisha akirudi unikodishie pia [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!! We jamaa ni hopeless jabisa.Nikuwekee nn?
Kisha unafikiria wakenya wako jf pekeake...wa tz ndio hamna zaidi ya hapa...kule kwengine ndio hamtosikizwa haswa...manake wengine wanajua tanzania ni mkoa kenya
Hahahaha, acha kunichafulia Uzi, tunazungumzia kuhusu hao jamaa. Kenya tatizo liko wapi, mbona mnateseka sana?. Hivi hata hili pia mnamsingizia Mungu?. Kuchota kinyesi kibichi kama mnachota MAJI ya kunywa, hata " gloves" hamuwezi kuvaa kweli?
Kwahiyo hili la kuchota na kuoga mavi kwako unadhani ni kawaida duniani?_ Hahahaha, hahahaha, hahahaha.Nikuwekee nn?
Kisha unafikiria wakenya wako jf pekeake...wa tz ndio hamna zaidi ya hapa...kule kwengine ndio hamtosikizwa haswa...manake wengine wanajua tanzania ni mkoa kenya
Duh!!! We jamaa ni hopeless jabisa.
Jaribu kuwa na exposure kidogo.
Kwahiyo hili la kuchota na kuoga mavi kwako unadhani ni kawaida duniani?_ Hahahaha, hahahaha, hahahaha.