babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Kw ruhusa ya ya nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1213425
Ngoja na mimi nikakodi mke kwa muda huko Kunyaland.
Ngoja na mimi nikakodi mke kwa muda huko Kunyaland.
Akikupikia utakula?Ngoja na mimi nikakodi mke kwa muda huko Kunyaland.
Bro hii kitu nimeona jana kwenye makala ya Bill gates kule netflix, alaf kwa bahati mbaya wakati na tazama nilikua natazama huku nakula,aisee chakula kilinishinda. mwanzoni nilizani pengine ni nigeria ila baada ya kuona hyo video yako nashawishika kuamini pale ilikua ni kenya,
Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.
Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
Wapeni wana habari uhuru..halafu ndio mtajua hamjui
Akili yako imekatika centre bolt.
Yani mnafiki utamjua tu...unaongea ni kana kwamba hapa duniani kuna nchi mbunge kapigwa risasi katika maeneo ya bunge na cctv bado hazijakamata tukio..nikuulize hyo movie ulishawai iona wapi hapa duniani..
Hebu ule utajiri mnaojisifia utumieni kuwasaidia wenzenu. π wanateseka namna hio bana na nyie East Africa na Central Africa ndio USA π πWapeni wana habari uhuru..halafu ndio mtajua hamjui
Asante sana kw kutumia 1% ya akili yako
Hongera kwa uzalendo.Mi naijua ccm na majanga yake
Anataka kuwatoa kwenye huu Uzi, msikubali kutoka. Hii ni aibu na fedheha kubwa sana, anajaribu kuusaulisha kwa kuingiza ajenda, tumkamatie hapa hapa asitoke.Anzisha uzi tutachangia bro.
Nami nitaanzisha uzi unaohusu kama duniani kuna mfanyakazi wa tume ya uchaguzi amewahi uawa na kukatwa mkono at the eve of general election.
Anataka kuwatoa kwenye huu Uzi, msikubali kutoka. Hii ni aibu na fedheha kubwa sana, anajaribu kuusaulisha kwa kuingiza ajenda, tumkamatie hapa hapa asitoke.
Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.
Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
Ulienda huko kufanya nini? Kama Tanzania ina utajiri basi mbona uende kuishi kwa nchi za wenyewe kwanza kwa slums.
Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.
Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
Nilitumwa huko enzi za ukombozi, kama shushushu.Ulienda huko kufanya nini? Kama Tanzania ina utajiri basi mbona uende kuishi kwa nchi za wenyewe kwanza kwa slums.
Uongo. Hivi wewe jinamizi una matapiko kweli? Wewe hata mate huna.Horrific catastrophic horrible, sijawahi ona hii toka nizaliwe, nimetapikaaa wtf π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±
Anzisha uzi tutachangia bro.
Nami nitaanzisha uzi unaohusu kama duniani kuna mfanyakazi wa tume ya uchaguzi amewahi uawa na kukatwa mkono at the eve of general election.