Hebu ule utajiri mnaojisifia utumieni kuwasaidia wenzenu. 😀 wanateseka namna hio bana na nyie East Africa na Central Africa ndio USA 😀 😀
Tafuta mwingine wa kudanganyaNilitumwa huko enzi za ukombozi, kama shushushu.
Kwanini hutaki?, ingia inbox nikupe "full details"Tafuta mwingine wa kudanganya
Kwa heshima kubwa sana wana jamii, ninaomba kuuliza, hiki wanachofanya hawa wakenya kimekaaje?, Mimi ni Mara ya kwanza kuona na kusikia.
Hivi tatizo la Kenya ni nini?, yaani kila ninavyozidi kuijua hii nchi, ndio ninazidi kuchanganyikiwa. Nimekaa sana Soweto na Township za Cape Town kule South Africa, lakini ni tofauti sana na slums za Nairobi. Tatizo ni nini?
Mkuu kuna siku niliongea humu ndani nikisema Kenya ni kama India tu.Horrific disgusting, what the bloody hell I just viewed [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] wtf is going on here
Hiari ya mtu kweli, na mwenye kutoa huyo ana roho nzuri, asietoa wakati wenzake wanapata shida huyo ni roho mbaya. Hata kama ni hiari yake. Inaonekana nchi yenu basi imejaa maroho mbaya and that explains a lot about you guys....Kutoa ni hiyari ya mtu
Mkuu kuna siku niliongea humu ndani nikisema Kenya ni kama India tu.
Baba mmoja mama tofauti.
Yani wana GDP kubwa lakini wana poor standard living.
Ona India hii nchi ya sita kwa great nominal GDP ppp worldwide.
Bob hiyo video umeiona?Tuleteeni data hapa za india na tanzania tulinganishe...maneno yyte yule atajisemea
NCHI YEYOTE YENYE MAENDELEO YA KIJAMII HAIWEZI KUWA NA UKOSEFU WA VYOO KATIKATI YA JIJI KIASI WATU WANAKUNYA BARABARANI.Tuleteeni data hapa za india na tanzania tulinganishe...maneno yyte yule atajisemea
Bob hiyo video umeiona?
Watu wanakunya kati kati ya jiji kwa ukosefu wa vyoo hv hata Nairobi hili lipo?
Hata Rwanda ama Burundi ushawahi ona watu wanakunya katikati ya CBD kisa ukosefu wa vyoo?
Acha uzwazwa na poor reasoning.
NCHI YEYOTE YENYE MAENDELEO YA KIJAMII HAIWEZI KUWA NA UKOSEFU WA VYOO KATIKATI YA JIJI KIASI WATU WANAKUNYA BARABARANI.
INDIA NI MASKINI SANA WANANCHI WAKE WANA POOR LIFE STANDARDS LICHA YA SERIKALI KUWA NA UTAJIRI.
1 India is ranked 105 amongst 128 countries in its Education for All Development Index. Among SAARC nations, India stands third behind Sri Lanka, and Maldives. India still has one of the lowest female literacy rate in Asia. As per the India’s last census in 2011, the female literacy stands at 65.46% compared to 82.14% of males. estimates show that for every 100 girls in rural India only a single one reaches class 12 and almost 40% of girls leave school even before reaching the fifth standard.
India’s poverty is one of the main reasons for low literacy among women. Only 13% of farm is owned by women across India, however, this figure is very low when it comes to Dalit women in India. About 41% women in India make their living by manual labour.
Being a non-earning member, it further expands women vulnerability and increases women dependability on their male counterparts.
Women in labour force Gender Wage Gap
The wage gap between Indian men and women is amongst the worst in the world, a report by international confederation of charitable organisations, Oxfam, said. The Monster salary Index (MSI) says, Indian men earn 25% more than women in the same kind of work done by both men and women. The average gender gap is 38.2%. However, Accenture research says that the gender gap in India is as high as 67%. More than 47% of women in India are involved in Agriculture related works, however the wage gap is beyond comprehension, because of non-uniformity in sectors, which is the same for other unorganized sectors in India.
USIIFANANISHE INDIA NA TZ KTK MAENDELEO YA KIJAMII.MAENDELEO YA KIUCHUMI INDIA IMETUPITA TENA KWA KIASI KIKUBWA KISEDE MAANA INDIA NI NCHI YA SITA KM SIKOSEI ULIMWENGUNI KTK MAENDELEO YA KIUCHUMI.
LAKINI KTK MAENDELEO YA KIJAMII INDIA NI MWISHO HAINA MAENDELEO YA KIJAMII KABBISA.
Bado ni poor reasoning bro.Hta wao wanashangaa watu wanauza watoto wao for rituals in tanzania...
Kwhyo na wao wakisema watanzania bado wako stone age, watakua wapo sahihi?
Kwhyo kw hilo la kunya barabarani...unataka kusema tanzania imeizidi india?Bado ni poor reasoning bro.
Masuala ya rituals yako popote pale.
Na hapa Tz yanatokea kwa minimal level ilhali India kiumaskini wapo ktk maximal level.
BWASHEE TUNAANZA NA EMPLOYMENTS.Lete hzo data basi katika sekta ya maendeleo ya kijamii..tuone mumewapita na nn
Bro mm nazungumzia social development.Poor reasoning kwako labda...
Mauwaji ya albino je?
Tatizo lenu mkiji compare na nchi nyngine mnaangalia mapungufu na kulinganisha na mazuri ya kwenu...
Weka kila kitu kw meza..halafu mwisho wa mada tunajua mwanaume ni nani...si eti unakomaa wanakunya barabarani, wakati wana vitu ambavyo wamewazidi mara elfu moja...
Kwhyo kw hilo la kunya barabarani...unataka kusema tanzania imeizidi india?
"moron"
Usitukane man.Poor reasoning kwako labda...
Mauwaji ya albino je?
Tatizo lenu mkiji compare na nchi nyngine mnaangalia mapungufu na kulinganisha na mazuri ya kwenu...
Weka kila kitu kw meza..halafu mwisho wa mada tunajua mwanaume ni nani...si eti unakomaa wanakunya barabarani, wakati wana vitu ambavyo wamewazidi mara elfu moja...
Kwhyo kw hilo la kunya barabarani...unataka kusema tanzania imeizidi india?
"moron"
Bro mm nazungumzia social development.
Sizungumzii economic development budah.
India ina economic development kubwa ya sita ulimwenguni.
Lakini ktk social development hawana kitu mzeeh.
Mauaji ya albino yalitokea na hayapo ebu acha utoto kuwa mtu mzima.
Mauaji ya Albino yalitokea na hayakua massively bali kwa minimal.
Ila suala la ukosefu wa vyoo India ni suala la taifa zima we huoni hatulingani hapo?
Bro ebu kuwa great thinker km JF inavyokutaka uwe.