Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni

Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
 
Kweli nazeeka aisee avatar ipo kwenye theatre kumbe, oh sawa sept itabid ntafute wakati
 
Back
Top Bottom